ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hua sioti, confederation imeanza 2004 siwezi kuhangaika na vitu havipoOtea
Lile lilikuwa bonanza la michezo, ni sawa na ile michezo ya wiki ya wanawake tu kuelekea kilele cha siju ya wanawake. Pamoja na hivyo, mmeishia wapi bro?Kwani super league kulikuwapo club yeyote afrika mashariki na kati tofauti na simba ?
Una elewa maana ya list? hapo kuna list? au ndio ule muwasho ume anza?Hiyo list ilivyo ndivyo itakavyo malizika
Maneno ya mkosaji, kama bonanza mbona mlikuwa mnalilia kushiriki mkapigwa chini. Mkaambiwa nyie bado watotoLile lilikuwa bonanza la michezo, ni sawa na ile michezo ya wiki ya wanawake tu kuelekea kilele cha siju ya wanawake. Pamoja na hivyo, mmeishia wapi bro?
Sasa Simba imetajwa wapi na Caf? 😁😁😁Bila kutaja Simba kwenye uu uzi basi mtoa post ni chura [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Tukaambiwa na nani? Rage au? Kama watoto mbona tupo kwenye timu bora Afrika? Hivi enyimba naye aliingia kwa kigezo kipi kwenye hilo bonanza? TP mazembe naye mke wetu aliingiajie?Maneno ya mkosaji, kama bonanza mbona mlikuwa mnalilia kushiriki mkapigwa chini. Mkaambiwa nyie bado watoto
Super cup ya mwaka 1994 alicheza nani na nani tuanzie hapo kwanza ili tujue kweli 93 mlicheza confederation cupConfederation haijaanza 2004, kwenye huo mwaka ilibadilishwa tu jina
Hawana uwezo wa kushinda hiyo tuzo, hata ikitokea wameshinda kwa nguvu ya mashabiki wao bado hawawezi kupewa kwa sababu Caf wao sio matahira waache kuwapa al ahly klabu ya karne wawape vyura wa jangwaniUtopolo inawania lakini Simba ipo kwenye top ten ya vilabu bora Africa. Kwenye kuwania kuna kushinda au kushindwa. Nilijua wamesha tangazwa kumbe wana wania?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hio inaitwa lineup wewe mbumbumbu, muwe mnakaa shule mambo mengine ni kujivua nguo tuKama sio list ni nini ?
Na hata kuwa kwenye top 10 ya vilabu bora africa ni juhudi binafsi za Mo vilevileMakolo wangeachana na umwakarobo na kusonga mbele zaidi hakika na wao wangejumuishwa.Ile kuingizwa kwenye AFL ilikuwa ni kwa juhudi binafsi za MO[emoji848]
Timu bora Africa za mchangani maana hadi Marumo yupo hapoTukaambiwa na nani? Rage au? Kama watoto mbona tupo kwenye timu bora Afrika? Hivi enyimba naye aliingia kwa kigezo kipi kwenye hilo bonanza? TP mazembe naye mke wetu aliingiajie?
Haiwezekani tushinde wote cha msingi tupo hapoHawana uwezo wa kushinda hiyo tuzo, hata ikitokea wameshinda kwa nguvu ya mashabiki wao bado hawawezi kupewa kwa sababu Caf wao sio matahira waache kuwapa al ahly klabu ya karne wawape vyura wa jangwani