CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Bila kutaja Simba kwenye uu uzi basi mtoa post ni chura [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
 
Lile lilikuwa bonanza la michezo, ni sawa na ile michezo ya wiki ya wanawake tu kuelekea kilele cha siju ya wanawake. Pamoja na hivyo, mmeishia wapi bro?
Maneno ya mkosaji, kama bonanza mbona mlikuwa mnalilia kushiriki mkapigwa chini. Mkaambiwa nyie bado watoto
 
Makolo wangeachana na umwakarobo na kusonga mbele zaidi hakika na wao wangejumuishwa.Ile kuingizwa kwenye AFL ilikuwa ni kwa juhudi binafsi za MO🤔
 
Mbona hujasema kuwa na Marumo ya uzaramuni nayo ipo?
 
Utopolo inawania lakini Simba ipo kwenye top ten ya vilabu bora Africa. Kwenye kuwania kuna kushinda au kushindwa. Nilijua wamesha tangazwa kumbe wana wania?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hawana uwezo wa kushinda hiyo tuzo, hata ikitokea wameshinda kwa nguvu ya mashabiki wao bado hawawezi kupewa kwa sababu Caf wao sio matahira waache kuwapa al ahly klabu ya karne wawape vyura wa jangwani
 
Makolo wangeachana na umwakarobo na kusonga mbele zaidi hakika na wao wangejumuishwa.Ile kuingizwa kwenye AFL ilikuwa ni kwa juhudi binafsi za MO[emoji848]
Na hata kuwa kwenye top 10 ya vilabu bora africa ni juhudi binafsi za Mo vilevile
 
Tukaambiwa na nani? Rage au? Kama watoto mbona tupo kwenye timu bora Afrika? Hivi enyimba naye aliingia kwa kigezo kipi kwenye hilo bonanza? TP mazembe naye mke wetu aliingiajie?
Timu bora Africa za mchangani maana hadi Marumo yupo hapo
 
Marumo ya uzaramuni lazima ichukue tuzo
 
Hawana uwezo wa kushinda hiyo tuzo, hata ikitokea wameshinda kwa nguvu ya mashabiki wao bado hawawezi kupewa kwa sababu Caf wao sio matahira waache kuwapa al ahly klabu ya karne wawape vyura wa jangwani
Haiwezekani tushinde wote cha msingi tupo hapo
 
Back
Top Bottom