CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Kwa mwaka jana ni timu bora kwenye michuano ya CAF. Nyie mikia ilishalowa tope kipindi wao wanaendelea na michuano ya CAF.
Malizia kombe la mbuzi
 
Sawa, naomba nijifunze toka kwako kwa nia moja tu mkuu. Hivi Enyimba, wale waangola na TP Mazembe Waliigia kwa kigezo gani?
Ni timu zenye ushawishi kuliko vyura wa jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…