Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hongera Simba kwa kumuingiza Aziz Ki, mmetisha.Hakika Tanzania Kwa Sasa inatisha sana kwenye Michezo.
Hongera TFF,Vilabu na Serikali ya Mama Wa Taifa Samia.
Taifa Stars
View attachment 2800020
Yanga
View attachment 2800022
Team of the Week-Azizi Ki
View attachment 2800019
Mbona hushangai USM Algers kawa Bingwa wa Super Cup kwa kumfunga kiboko yako but ligi ya mabingwa hayupo msimu huu?Mbona hujasema kuwa na Marumo ya uzaramuni nayo ipo?
Unashangaa hayo ila ya enyimba kuwa kwenye superleagùe haushangaiAngalia hiyo picha vizuri kuna hadi Marumo hapo kwahiyo na wao ni wakubwa
Hata USM Algers yupo aliemfunga na kuchukua Super Cup yule unaemshindwa wewe kila Mwaka kumtoa kwenye knock out stage.Usisahau na Marumo yupo hapo
Kwani wewe unavyojua ukubwa wa timu ni upi kama si mafanikio ya uwanjani na sio ya kiuganga kuwasha moto uwanjani?Angalia hiyo picha vizuri kuna hadi Marumo hapo kwahiyo na wao ni wakubwa
Aziz Ki ni WA Simba? 😂😂😂😂Hongera Simba kwa kumuingiza Aziz Ki, mmetisha.
Ukiangalia hiyo list hakuna timu iliyoishia robo fainali,zote ni nusu na fainali. Ndio ujue hata kuku robo huwezi kula ukashiba.Usisahau na Marumo yupo hapo
Wanaangalia achievement yake kwa vilabu CAF alifanya nini kulingana na msimu uliopita si PSL.Hadi Marumo walioshuka daraja pia ni bora [emoji23]
Muhimu tumecheza super league ambayo ni ya thamani zaidi ya hizo tuzo za mchongoKwa jinsi Makolo wanavyopenda sifa wakijitanabaisha ni wa kimataifa,hili la kutokuwepo kwenye tuzo litakuwa limewauma Sana.Vinginevyo wangekuwepo na Yanga wasiwepo mjini kusingekalika kwa makelele yao na vijembe [emoji848]