CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Kwa jinsi Makolo wanavyopenda sifa wakijitanabaisha ni wa kimataifa,hili la kutokuwepo kwenye tuzo litakuwa limewauma Sana.Vinginevyo wangekuwepo na Yanga wasiwepo mjini kusingekalika kwa makelele yao na vijembe 🤔
 
TANZANIA YATAJWA TUZO ZA CAF 2023: Timu ya Taifa ya Soka (Taifa Stars) imetajwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kuwania Tuzo katika kipengele cha Timu Bora ya Taifa kwenye usiku wa tuzo za shirikisho hilo utakaofanyika Morocco Desemba 11, 2023.

Taifa Stars itachuana na nchi za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Guinea ya Ikweta, Mauritania, Morocco, Senegal, Namibia na Msumbiji katika kipengele hicho.
FB_IMG_16988314779367931.jpg
 
Huu uzi umeuanzisha huku roho inakuuma Sana yaani. Unatamani Ku dis hizi tuzo ila ukiangalia unaona wababe wako wote wapo.

Matokeo yake mnaishia kusema wamewekwa mwishoni mwa list. Sasa mwishoni mwa list na kutokuwemo kwenye list ipi afadhali.

Ule muharo wenu mnaosema kolo ni best Team and giant in Africa bado una hold au mnaufuta sasa rasmi?
 
Hata USM Algers yupo aliemfunga na kuchukua Super Cup yule unaemshindwa wewe kila Mwaka kumtoa kwenye knock out stage.
Simba amecheza mara ngapi na al ahly knockout stage, au unajitoa ufahamu tu
 
Kwa jinsi Makolo wanavyopenda sifa wakijitanabaisha ni wa kimataifa,hili la kutokuwepo kwenye tuzo litakuwa limewauma Sana.Vinginevyo wangekuwepo na Yanga wasiwepo mjini kusingekalika kwa makelele yao na vijembe [emoji848]
Muhimu tumecheza super league ambayo ni ya thamani zaidi ya hizo tuzo za mchongo
 
Back
Top Bottom