CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Vipi mayele anatoboa hapo ?
 
Utopolo zindukeni hizi ni mbinu chafu za Babra hapo Caf ili kuwatoa mchezoni mbweteke jumapili mpigwe kipigo cha mbwa koko
 
Ongezea Mamelod, ES,Al Ahly, Wydad. Wale ndio wanaume wa 22/23,ww kipindi hiko wakina Chama wakicheza mdako Msimbazi.
Nilitaka nishangae bila kumtaja chama
 
Nimechoka hapo kwa Malumo na Asec.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hushangai USM Algers kawa Bingwa wa Super Cup kwa kumfunga kiboko yako but ligi ya mabingwa hayupo msimu huu?
Kiboko yangu nani?

Alinifunga wapi?

Hata sisi tungepata penati tungempiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…