CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Nusu fainali ya Confederation Cup.
Nusu fainali ya confederation ni sawa na group stage ya Cafcl, ukibisha naweka miaka uliyochukua kufika group stage ya champions league
 
Ukiangalia hiyo list hakuna timu iliyoishia robo fainali,zote ni nusu na fainali. Ndio ujue hata kuku robo huwezi kula ukashiba.
Raja Casablanca alicheza nusu fainali ya wapi, mbona kama hujielewi ?
 
Back
Top Bottom