Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ulifika Mwaka gani?Atleast nimefika nusu fainali ya champions league ambayo wewe pia hujawahi kufika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifika Mwaka gani?Atleast nimefika nusu fainali ya champions league ambayo wewe pia hujawahi kufika
Makombe na medali ya CAF,bila kusahau nimekufinga mechi na magoli mengi kuliko timu yoyote ile Duniani.Wewe una yapi ya kumzidi mnyama ?
Mlicheza na nani? Tunaomba picha1974
Weka takwimuSimba ndo timu yenye makombe mengi zaidi ya jumla ( mashindano yote) kuliko klabu yeyote Afrika mashariki na kati
Unajitia aibu tu,caf walioiweka marumo pale sababu ya kufika nusu fainali hawana akili?Nusu fainali ya confederation ni sawa na group stage ya Cafcl, ukibisha naweka miaka uliyochukua kufika group stage ya champions league
Weka picha tuoneGhazl El Mahalla
Mimi sina GoogleMkuu kazi ya Google ni nini ?
Utawasikia kwamba hata wao walishawahi kuchagulia miaka fulani katika vipengele 10.Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here!
#CAFAwards2023
============
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka 2023 ambapo Taifa Stars ya Tanzania itachuana na Timu za Taifa za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.
Kwa upande wa Vilabu, Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Africans inashindana na CR Belouizdad, USM Alger, ASEC Mimosas, AL Ahly FC, Raja CA, Wyadad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants, na ES Tunis.
Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 11, 2023 Nchini Morocco, zimeiacha nje ya kinyang'anyiro Klabu ya Simba kutoka Tanzania.