CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

Ila hawa jamaa kila mtu kwa nafasi yake anataka kumhadaa refa
 
Kinachofurahisha ni kuona Al Ahly na refa ndio wanaopigwa tochi.

Wachezaji wa Raja wako safe.
 
VAR preview hapo kuangalia uwezekano wa kutokea penati
 
Preview i aonesha mchezaji wa Al Ahly alianza kuucheza mpira lakini sijajua kwanini refa ameamua penati
 
Tz players tujifunze jinsi ya kumshawishi refa
 
Hata wakifunga bado wanakibarua cha kuongeza bao lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…