Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hutakuta timu ikifurahia kuondoka na medali bila kombe
Jana ndio ninekuja kubaini kuwa zile medali walizokuwa wanavimba nazo kumbe walipewa za shaba.
Wale waliochukua kombe walipewa za dhahabu.
Hukua unajua hilo Bru!Jana ndio ninekuja kubaini kuwa zile medali walizokuwa wanavimba nazo kumbe walipewa za shaba.
Wale waliochukua kombe walipewa za dhahabu.
Zikiwa za shaba, chuma au alminium zinaondoa hadhi ya kuitwa medali?Ni shaba zile mbona
Fanyieni na nyinyiHii ndyo fainal sasa inatambulika Fifa na caf siyo fainal za uchochoroni eti mnafanya na parade Bangladesh bin Pakistan