CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Kipa anakuwa wa kwanza kudaka mpira
 
Huu mpira wa kona haukupaswa kuwa kona ni fitna tu
 
6'

Kona wanapiga Wydad

Mpira huu ulitolewa na mchezaji wa Wydad ila home advantage imembeba
 
Freekick wanapewa tena Wydad eneo kama la mwanzo

Kipa anadaka tena
 
Ahly tujuane jamani....japo usingizi unaninyanyasa
 
Hii mechi hii kuna mtu atakula umeme
 
13'

Wydad wanapoteza nafasi ya dhahabu hapa
 
Haya ndiyo yale mashindano ambayo simba ikijitahidi sana huishia Robo fainali.

Naamini Mwakani muda kama huu Taifa litakuwa linawaangalia Wananchi kwa mara nyingine tena.
 
Wydad wanapoteza nafasi nyingi ambazo ni big chances
 
Back
Top Bottom