CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Goooooooooooal Wydad wanaandika bao la kwanza dakika ya 27
 
Waarabu washaanza moshi kibao

Sema kwa walichofanyiwa na Al ahly kwao leo watalia dadeki [emoji23]
 
Al Ahly wameachia moshi
PXL_20230611_193033876.MP.jpg
PXL_20230611_193029809.MP.jpg
PXL_20230611_193027300.MP.jpg
 
Washaanza kurusha mafataki Wydad naona half ya pili nao wataanza kujiangusha,kwani mpaka hapo tayari holi la ugenini lina wabeba.
 
Hawa waarabu sio poa tukiwapa bandari siku ya mshahara wanawasha moshi na mifataki
 
Mechi za uarabuni waamuzi wawe wanapewa miwani ya maaskari wale wanaotuliza ghasia.

Wale maaskari wanakuwaga na mabomu ya moshi kwa ajili ya kutuliza watu.

Moshi unakuwaga mzito kiasi cha kufanya watu mshindwe kuonana, sasaI ili nao wasidhurike na ule moshi wanakuwa na miwani yao inayoweza kuwafanya waone clearly
 
Back
Top Bottom