CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Jamaa watajuta kwanini wasiwe na Final moja..maana sgughuli ilikuwa imeisha
 
Mpira wa Afrika unaboa sana, kujiangusha angusha hapa half ya pili mpira unaweza kuchezwa kwa dk 35 tu, kumi zote kulala na mafataki.
 
Wameanza kurusha mipira miwili miwili mara hii
 
Al Ahly walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuweza kupata bao lakini defense line iliwahi kukaa vyema
 
Haya ndiyo yale mashindano ambayo simba ikijitahidi sana huishia Robo fainali.

Naamini Mwakani muda kama huu Taifa litakuwa linawaangalia Wananchi kwa mara nyingine tena.
Wewe umechukua kombe mara 29 (mara nyingi kuliko Simba Sc), lakini hizo mara nyingi ulizopata kushishiriki hata makundi tu hujawahi kuingia.

Kwanini unahisi Simba Sc alitakiwa achukue hilo kombe kirahisi?

Unatoka playoffs kila leo, hiyo nguvu ya kumcheka anaetika robi unaitoa wapi?
 
Hapa ndiyo unaona namna gani Simba ni timu kubwa.
Tunafeli padogo sana. Wakati mwingine mpaka nakua na wasiwasi huenda viongozi wanauza mechi zetu tukiwa ugenini.
wamatumbi bado tuna uogo mwingi tofauti na hawa jamaa.ona mechi ya Simba mashabiki wa Wyda walikua wachache lakini walimamisha mpira kwa muda.
 
41'

Al Ahly wanakosa bao

Wakati huo refa anawafata kusimamisha mpira kufuatia mchezaji mmoja wa Wydad kulala chini.

Refa anatoa kadi ya njano kwa mchezaji wa Al Ahly kwa kitendo cha kumvuta shati mwamuzi wakati akielekea kuangalia afya ya mchezaji aliyelala chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom