Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #141
Hawana timu ya kuingia makundi kule hakuna washuka darajaKwa kauli ya Hersi kasema wao lengo lao mwakani ni kuingia makundi.Hili sio kombe la losers.Wakiingia makundi Utopolo watakuwa wamefikia lengo na wamejitahidi sana.Miaka miwili mfululizo wameangukia pua.