Lengo lilikuwa semi tumefika robo fainali kuna tofauti kubwa na Utopolo. Wao lengo lao ni makundi Simba makundi sio lengo tena ni kawaida.Wamepandisha bar.Vipi nyie mmefikia malengo yenu msimu huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lilikuwa semi tumefika robo fainali kuna tofauti kubwa na Utopolo. Wao lengo lao ni makundi Simba makundi sio lengo tena ni kawaida.Wamepandisha bar.Vipi nyie mmefikia malengo yenu msimu huu?
AamiinMwakani muda kama huu insha Allah! mtakuwa mnawaangalia Wananchi. Hivyo dua zenu ni muhimu sana.
Tukinyanyua ndoo Sio Fainal tu ,halafu tutakutana Fifa club World Cup na Bayern au Madrid atapigwa kimoja historia itaandikwa timu ya kwanza Afrika kushinda taji hilo.Mwakani muda kama huu insha Allah! mtakuwa mnawaangalia Wananchi. Hivyo dua zenu ni muhimu sana.
Hamjielewi ndo maana Kila mwaka mnafanywa jamvi la wageni,Kila mja analikanyagaKwa mara ya tatu mfululizo, kila anaemtoa Simba Sc anakuwa finalist.
Ahly hawezi kuvuliwa ubingwa kwasababu sio bingwa.Matokeo yakiisha hivi Al Ahly anavuliwa ubingwa
Kama ya Kalikonji!!Nafahamu, nimesema watavuliwa ubingwa sio kwa maana ya wabingwa watetezi.
Hiyo nimetumia slogan ya Willson Oruma
Dua hazina nafasi katika kufanikisha ushindi kwenye mchezo wa mpira, Mungu hawezi kuwa mbaguzi kwa kuchagua upande wa kuusaidia.Mwakani muda kama huu insha Allah! mtakuwa mnawaangalia Wananchi. Hivyo dua zenu ni muhimu sana.
Huyo hafanani na mansour anafanana sana na al khelaifi rais wa psg
Jibu swali acha mbambamba mmefikia malengo yenu?Lengo lilikuwa semi tumefika robo fainali kuna tofauti kubwa na Utopolo. Wao lengo lao ni makundi Simba makundi sio lengo tena ni kawaida.Wamepandisha bar.
Mmefikia hatua ya kuwaza kuifunga Madrid, licha ya kushindwa kutoboa playoffs?Tukinyanyua ndoo Sio Fainal tu ,halafu tutakutana Fifa club World Cup na Bayern au Madrid atapigwa kimoja historia itaandikwa timu ya kwanza Afrika kushinda taji hilo.
Bora kukanyagiwa huko Robo fainali CAFCL kuliko kukanyagiwa huku kwenye playoffs.Hamjielewi ndo maana Kila mwaka mnafanywa jamvi la wageni,Kila mja analikanyaga