Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiisha hivi,ndoo anabeba Nani apa
Waydad wana wachezaji wa maana haswa, walikosa kocha mzuri tu.Ila wydad wanakanyaga ball
Ndio maana sheria ya fainali mbili naona ni halali kabisaMashabiki nao wanazingua
Aaah sawa sawa ,bao la ugenini ni usengeWydad
Umeisahau na vipers mkuuNdio maana sheria ya fainali mbili naona ni halali kabisa
Kwa Afrika timu kupata goli la ugenini kunakuwa na kazi yani hata ukutane na timu mbovu ila ikiwa kwake shughuli inakuwa nzito
Timu zote huwa zinakuwa ngumu Isipokuwa Rivers na Marumo ile ya uzaramuni