CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Ndio maana sheria ya fainali mbili naona ni halali kabisa

Kwa Afrika timu kupata goli la ugenini kunakuwa na kazi yani hata ukutane na timu mbovu ila ikiwa kwake shughuli inakuwa nzito

Timu zote huwa zinakuwa ngumu Isipokuwa Rivers na Marumo ile ya uzaramuni
[emoji23]
 
Asante Al
Screenshot_20230611-234206~2.png
 
Back
Top Bottom