CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Na 1993 Simba alifika fainali wakati huo wakitumia Caf Cup ambayo ndio CAF Confederation Cup kwa sasa.
Wanajua ukweli lakini wanajitia vidole puani kujifanya mazuzu ili wakwepe ukweli.
 
Taarifa nyeti zinazohusu origin ya kitu ikiwa imechapishwa kwenye ukurasa wa Wikipedia huwa inasomwa kwenye kipengele cha history

Umepitia hapo kwenye kipengele cha history umesoma ukaambiwa 1954 kulikuwa na mashindano yanayoitwa UEFA?

Halafu pia unatumia version gani ya Wikipedia?

Aukuna hiyo picha yako ume edit kutoa baadhi ya content ili kufanya hoja yako ionekane ina mashiko kwa wasiofuatilia?

Angalia hii picha happ nilipo circle [emoji837]

View attachment 2655476

Halafu ukitoka hapo nenda kwenye list ya mabingwa wa hiyo michuano kisha nitumie screenshot yako hapa ikionesha bingwa wa msimu wa kwanza wa haya mashindano
Basi tumalize utata tuletee orodha ya washindi wa confederation cup tangu lianze
 
Angekuwepo Luis Jose Miquesone Al Ahly wangepiga hata bao 9!!!
 
Back
Top Bottom