Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Umeandika kwa hisia, ushabiki, na si kitaalumaSimba hawako realistic when it comes ishu za malengo. Malengo lazima yazingatie Resources zako, Management nk.
Yanga wako mbali kiuongozi, Kiutendaji, Kiuchezaji nk lkn always wako calm na mipango yao ni ile inayoelezeka.
Simba wanajipa malengo ambayo hayapo kiuhalisia. Mpira hawajui, always wanacheza jihadi tu uwanjani na sip vipaji.
Sasa kwa wenye akili hao Yanga ndio wanaenda mbali, kwa kuwa hawachezi kwa presha wala nini, Next Season Yanga wana nafasi ya kufika hata Fainali ya CCL kwa kuwa wana malengo yasiyo na presha na yenye uwezo wao. Timu yenye, Mzamiru, Kibu, Sakho, Ntibazonkiza na mafamba mengine eti yaote ndoto ya kucheza nusu fainali CCL. Inachekesha sana hii. Mmeshindwa fainali ya MAPINDUZI mtaweza huko?
"MBUMBUMBU" (Rage I. Aden)
Hakuna 4 quarter finals ya jihad/fluke/bahati/kisimati/zali ndugu yangu....acha ushabiki when it comes to reality... You just acknowledge them
Ingekuwa rahisi hivyo usingemaliza 20+ years hujacheza group stage ya champions league!
Labda ungesema malengo yao ni kucheza robo final kila mwaka!
Nawewe usisahau malengo hayakuwa kucheza confederation cup, mlisema kule ni kwa losers, mlienda kule Bahati mbaya baada ya kupigwa na Mohammed Abdulrahman wa al hilal ya Sudan... Acha uongo
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app