Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Etoile Sahel fc wapo wata take chance.Esprence msimu ujao yupo confederation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etoile Sahel fc wapo wata take chance.Esprence msimu ujao yupo confederation
CAF CONFEDERATION CUP imeanzishwa mwaka 2004.Hakuna timu iliyowahi kufika Nusu fainali achilia mbali fainali?
Hii umeiandika kama changamsha genge au umekusudia na unataka isomwe na Great Thinker yeyote?
Unaelewa kwamba mafanikio yeyote anayoonekana kupata Yanga kimataifa, haweki rekodi mpya kwenye uso wa nchi bali anaweka rekodi mpya kwa profile yake binafsi?
Yanga kufika fainali sio kuvunja rekodi, bali ni kuandika rekodi yake binafsi.
Muwe mnafatilia ni vitu vidogo vinavyotaka akili, uki lose concentration utajikuta unaonekana Joker.
Kama tu Azam Federation mnaamini Yanga ikifungwa utamfanya Azam ashiriki Club Bingwa na Simba ashuke shirikisho. Je hiyo haitoshi kusimama kama SI Unit kupima akili zenu?
Sasa vitu vidogo kama hivi vinawasumbua, jambo zito la Simba kucheza fainali utaliweza?
Wewe usha kuwa mwehuHakuna timu iliyowahi kufika Nusu fainali achilia mbali fainali?
Hii umeiandika kama changamsha genge au umekusudia na unataka isomwe na Great Thinker yeyote?
Unaelewa kwamba mafanikio yeyote anayoonekana kupata Yanga kimataifa, haweki rekodi mpya kwenye uso wa nchi bali anaweka rekodi mpya kwa profile yake binafsi?
Yanga kufika fainali sio kuvunja rekodi, bali ni kuandika rekodi yake binafsi.
Muwe mnafatilia ni vitu vidogo vinavyotaka akili, uki lose concentration utajikuta unaonekana Joker.
Kama tu Azam Federation mnaamini Yanga ikifungwa utamfanya Azam ashiriki Club Bingwa na Simba ashuke shirikisho. Je hiyo haitoshi kusimama kama SI Unit kupima akili zenu?
Sasa vitu vidogo kama hivi vinawasumbua, jambo zito la Simba kucheza fainali utaliweza?
Unahangaika na mwehu! anasema CAF cup ni federation cup mtu kama huyo ni wa kupuuza tuCAF CONFEDERATION CUP imeanzishwa mwaka 2004.
Vipi SIMBA imewahi kufika Nusu Fainali?
Nyie yenu yalikua ni robo?Malengo yenu ilikuwa kutolewa na Al hilal hatua za mwanzo?
Swali kwenu GongowaziUnahangaika na mwehu! anasema CAF cup ni federation cup mtu kama huyo ni wa kupuuza tuView attachment 2655127
Wakikujibu nitashangaa sana.Swali kwenu Gongowazi
UEFA ilianza mwaka gani?
UEFA ni chama cha soka Barani Ulaya ni kilianzishwa mwaka 1954 nchini Uswizi.Swali kwenu Gongowazi
UEFA ilianza mwaka gani?
Ndio nina uhakika.Una hakika na chanzo chako kuwa mwaka 1954 kulikuwa kuna kitu kinachoitwa UEFA?
Sema lingine....Una hakika na chanzo chako kuwa mwaka 1954 kulikuwa kuna kitu kinachoitwa UEFA?
Taarifa nyeti zinazohusu origin ya kitu ikiwa imechapishwa kwenye ukurasa wa Wikipedia huwa inasomwa kwenye kipengele cha historySema lingine....
View attachment 2655470
Basi wewe ni Chizi, umeuliza UEFA. Nimekujibu UEFA ni chama cha soka barani Ulaya.Taarifa nyeti zinazohusu origin ya kitu ikiwa imechapishwa kwenye ukurasa wa Wikipedia huwa inasomwa kwenye kipengele cha history
Umepitia hapo kwenye kipengele cha history umesoma ukaambiwa 1954 kulikuwa na mashindano yanayoitwa UEFA?
Halafu pia unatumia version gani ya Wikipedia?
Aukuna hiyo picha yako ume edit kutoa baadhi ya content ili kufanya hoja yako ionekane ina mashiko kwa wasiofuatilia?
Angalia hii picha happ nilipo circle [emoji837]
View attachment 2655476
Halafu ukitoka hapo nenda kwenye list ya mabingwa wa hiyo michuano kisha nitumie screenshot yako hapa ikionesha bingwa wa msimu wa kwanza wa haya mashindano
Unajitoa akili tena?Basi wewe ni Chizi, umeuliza UEFA. Nimekujibu UEFA ni chama cha soka barani Ulaya.
Unaweka UEFA CHAMPIONS LEAGUE tena, ww chizi. Ungeuliza UEFA CHAMPIONS LEAGUE IMEANZISHWA LINI UNGEJIBIWA PIA.
PATHETIC.
Hakujua hata ameulizwa nini?Tatizo kukurupuka.Unajitoa akili tena?
Ngoja nikukumbushe tulikoanzia
Mjadala ulikuwa unahusu mashindano ambayo saizi yameitwa CAF Confederation Cup.
Wewe umekuja na hoja kuwa Yanga ndio Club pekee kwa hapa Tanzania kufika hatua ya fainali kwa michuano hiyo.
Mimi nimefanya Abbreviation kutaja neno UEFA kwakua najua mada tunayojadili mezani inahusu kitu gani na mimi nime point UEFA kama mfano wa kukuonesha jinsi gani haupo sahihi kwa fikra zako kuamini fainali ya Caf Cup aliyocheza Simba haihisiani na Caf confederation.
Sasa twende taratibu, ule utata bila shaka haupo tena.
Haya niambie UEFA CL ilianza mwaka gani?
1955 wakitumia European Champions Cup.Unajitoa akili tena?