DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Matatizo ya akili hayo mkuu, wahi milembe.Aliu dieng sijaona anamzidi Nini mzamiru Yasin labda mshahara na mwili lakin sio kiwango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya akili hayo mkuu, wahi milembe.Aliu dieng sijaona anamzidi Nini mzamiru Yasin labda mshahara na mwili lakin sio kiwango.
Ilikua balaa ile siku khaaaah,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee zile 7up zitakaaga nizisahau. Brazil akiwa ndiye ame host world cup. Mbele ya mashabiki wake uwanja mzima
[emoji3][emoji3][emoji3]
Nafikiri wydad ndio wataitwa pale mjini rabat, si ndio wamepata medali bila kombeSo Al Ahly sijui wataitwa Ikulu Egypt ?
kwa hiyo hujui utaratibu wa medali za mshindi wa kwanza na wa pili halafu unapiga kelele hapa !Jana ndio nimekuja kubaini kuwa zile medali walizokuwa wanavimba nazo kumbe walipewa za shaba.
Wale waliochukua kombe walipewa za dhahabu.
Mshindi nisiemtarajia kivipi? fainali yeyote aliejiandaa na atakaekuwa na bahati siku hiyo ndiye atakaeshinda. Sasa fainali unasemaje nisiemtarajiaYani ikitokea mshindi amekuwa yule ambae hamkumtarajia basi kigezo kinakuwa hiki?
Watu wanafanya biashara ili wapate pesa hapa, no way uandae fainali moja mechi iwe kama bonanza kwa kukosa mashabiki, upoteze pesa na burudani.
Hawana tofauti ThimbaMamelody hana bahati, akifika nusu anaishia hapo hapo, sijui wamerogwaaa khaaaah
Wako wanaoishia raundi ya kwanza na inafanywa siri . Lengo lao ni makundi halafu kelele na ngebe nyingi!Hawana tofauti Thimba
Kwani vipi ulibet mini? Mbona una hasira sanaWw n mwanamke au mwanaume muda huu sindo shemej anatakiwa awe anahesabu shanga?
Zilipendwa hizo,2023/2024 kama CAF CL Kama ShirikishoWako wanaoishia raundi ya kwanza na inafanywa siri . Lengo lao ni makundi halafu kelele na ngebe nyingi!
My point is hata medali ya kombe la bonanza huna unaongea nini sasa
Unapingana na Rais wako Hersi au umeshiba mihogo?Kahojiwa juzi kasema lengo 23/24 ni makundi.Unadhani kuingia makundi mchezo?Waliongukia pua ndio wanajua ugumu wake.Zilipendwa hizo,2023/2024 kama CAF CL Kama Shirikisho
Medali Imekuwa riadha?Hivi kuna timu inaulizwa una medali ngapi?Au malengo yamekuwa "medali"?My point is hata medali ya kombe la bonanza huna unaongea nini sasa
Bora simba, sasa utopoloo hata makundi hawaingiiHawana tofauti Thimba
Mmesahau nyie mlivyokandwa nahao majamaa kwapenalt mlivyokuja mkiwa kifua mbele nakombe lenu lakufa kiume mara oooh hatuwadai[emoji41][emoji41]Umeziona timu kubwa zikikosa kombe zinavyotakiwa ku behave?
Mngekuwa nyinyi hapo si ingekuwa fujo?
Ndio mjue mlivyo ma poyoyo sasa hivi mna komaa na kiatu kuna timu inaulizwa kiatu au robo finally?Medali Imekuwa riadha?Hivi kuna timu inaulizwa una medali ngapi?Au malengo yamekuwa "medali"?
Anayelilia kiatu anajulikana.Aliacha hata safari ikashindikana kushinda mwenyewe. Uzembe unaongoza kwa goli 7 unakutwa !Ndio mjue mlivyo ma poyoyo sasa hivi mna komaa na kiatu kuna timu inaulizwa kiatu au robo finally?
Simba hawako realistic when it comes ishu za malengo. Malengo lazima yazingatie Resources zako, Management nk.Wako wanaoishia raundi ya kwanza na inafanywa siri . Lengo lao ni makundi halafu kelele na ngebe nyingi!