CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Tofauti kati ya matured na immatured.

Hizi ndio sura ambazo matured huonesha pale ambapo wameshindwa kuchukua kombe.

Wamemaindi haswa angalia vizuri.

Sasa kuna kundi lingine wiki mbili zilizopita liliwachanganya sana watu. Hadi wale waliochukua kombe wakawa na wasiwasi wakaanza kujiuliza maswali "

"Mbona hawa hawajachukua kombe ila wamefurahi kuliko sisi?"

"Au tumedanganywa nini?"

Kuna viongozi wa juu kutoka FIFA walipewa mualiko kwenye hiyo fainali, basi wakati wa kuanza kutoa pongezi kwa mshindi al manusra pongezi ziende kwa Yanga maana muda huo ndio walioonekana wenye furaha USM ALGER ndiye alionekana kama amekosa kombe.
 
Back
Top Bottom