CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Wale wachezaji waliojazwa sifa na wao wakalewa

Wakiangalia hizi mechi za mashindano ya CAF Champion league halafu wakikumbuka na kauli ya boss wao kuwa anataka wafike makundi.

Wachezaji wanaona kama ridiculous.

Boss hatutakii mema
 
Back
Top Bottom