CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Hapa hutakuta timu ikifurahia kuondoka na medali bila kombe
FyVe2V2WYAEEAK-.jpeg
 
Game za waarabu huwa zina michezo michafu sana refa ukiwa na temper unaweza ukapiga red card timu nzima, sasa kama huyo mjinga anaona refa keshapiga filimbi alafu anaenda kumshika sharti amezawadiwa kadi ya njano bado anamkoromea refa.
Kitu pekee wametuzidi waarabu ni uzalendo wa kusimamia rasilimali kwa manufaa ya jamii nzima. Zaidi ya hapo ni wapuuzi tu kama sisi na pengine kuna maeneo wametuzidi upuuzi zaidi.
 
Kwa kauli ya Hersi kasema wao lengo lao mwakani ni kuingia makundi.Hili sio kombe la losers.Wakiingia makundi Utopolo watakuwa wamefikia lengo na wamejitahidi sana.Miaka miwili mfululizo wameangukia pua.
Vipi nyie mmefikia malengo yenu msimu huu?
 
Back
Top Bottom