CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Waarabu hawajawahi kucheza mpira dakika 90.

Wao ni dakika 75 wakizidi sana basi 80.

Hizo dakika zingine Refa utakuwa unakazi ya kuamua ugomvi na kusuluhisha migogoro ya hapa la pale
 
41'

Al Ahly wanakosa bao

Wakati huo refa anawafata kusimamisha mpira kufuatia mchezaji mmoja wa Wydad kulala chini.

Refa anatoa kadi ya njano kwa mchezaji wa Al Ahly kwa kitendo cha kumvuta shati mwamuzi wakati akielekea kuangalia afya ya mchezaji aliyelala chini.
 
Back
Top Bottom