CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Mwenye link jaman plz anisaidie!
مرحبا، حمل تطبيق ياسين تيفي الان لمشاهدة جميع المباريات والعديد من القنوات بدون تقطيع من هنا : www.yacineapp.tv
 
Msikilizieni commentator anavyotaja Simba hapo

Anasema hii Wydad ambayo inaismbua hivi Al Ahly ilipigiwa mpira mwingi hapa hapa kwao na timu kutoka Tanzania inaitwa Simba
 
Haya ndiyo yale mashindano ambayo simba ikijitahidi sana huishia Robo fainali.

Naamini Mwakani muda kama huu Taifa litakuwa linawaangalia Wananchi kwa mara nyingine tena.
Wanasubiri wydad ashinde waseme walifungwa na bingwa
 
Hawa Wote Wanaocheza Final Leo Wanaiogopa Simba Sc


[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
23'
Bado milango ni migumu
 
Hawa Al Ahly mpira wao hautofautiani sana na Yanga, Nadhani Yanga pekee wanaweza kuwamudu hawa jamaa
 
Al Ahly wameweka ukuta wa México
 
26'
Freekick wanapata Wydad
 
Back
Top Bottom