Taarifa nyeti zinazohusu origin ya kitu ikiwa imechapishwa kwenye ukurasa wa Wikipedia huwa inasomwa kwenye kipengele cha history
Umepitia hapo kwenye kipengele cha history umesoma ukaambiwa 1954 kulikuwa na mashindano yanayoitwa UEFA?
Halafu pia unatumia version gani ya Wikipedia?
Aukuna hiyo picha yako ume edit kutoa baadhi ya content ili kufanya hoja yako ionekane ina mashiko kwa wasiofuatilia?
Angalia hii picha happ nilipo circle [emoji837]
View attachment 2655476
Halafu ukitoka hapo nenda kwenye list ya mabingwa wa hiyo michuano kisha nitumie screenshot yako hapa ikionesha bingwa wa msimu wa kwanza wa haya mashindano