DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Na kama wakiweza hapa watakuwa wanaume sana na kama ikiwezekana wafike hata Robo fainaliIli kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.
Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuikamia kwao kwenye mechi hizi.
Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.
Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?
Wanavyoikamia Yanga sasa wakamie mechi hizi tuone.Na kama wakiweza hapa watakuwa wanaume sana na kama ikiwezekana wafike hata Robo fainali
Likely watakutana na Monastir, wale waliokutana kwenye makundi ya LUZA KAPIli kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.
Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuikamia kwao kwenye mechi hizi.
Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.
Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?
Yanga akishinda anakutana na nani
Likely watakutana na Monastir, wale waliokutana kwenye makundi ya LUZA KAP
mimi ni Simba, ila kwa sasa hakuna timu ya kuifunga Yanga ndani ya Afrika Mashariki na Kati.
Wangepelekwa Kazikazini au West huko, ila kwa Kenya, Uganda na hizo nchi za jirani nani ataifunga Yanga?
Hawa kama sijasahau walipigwa na Azam kwao 3:1...tunawamuduHawa siyo wabaya lakini tunawapiga nje ndani.
Uwekezaji uliofanyika Yanga ni wa level ya kucheza fainali
Ndio mpaka akutane naeMbona azam wamemkomalia Sana Yaani akishinda akutane na Pyramid sasa si kashatoka hyo
Kweli unapokuwa utopolo huwezi tofautisha akili ya muokota makopo majalalani na dr mwenye phd yake anaeyefundisha university. Yaani uwekezaji wa kucheza fainali ya ubingwa wa afrika ndio azizi ki ambae hafiki thamani hata ya ml 500? Na wanaonunua wachezaji wa b5 wasemeje?Hawa siyo wabaya lakini tunawapiga nje ndani.
Uwekezaji uliofanyika Yanga ni wa level ya kucheza fainali
Ihefumimi ni Simba, ila kwa sasa hakuna timu ya kuifunga Yanga ndani ya Afrika Mashariki na Kati.
Wangepelekwa Kazikazini au West huko, ila kwa Kenya, Uganda na hizo nchi za jirani nani ataifunga Yanga?
Azam Hana bahati,Pyramid uwatoeee...hawatakubali aibu hiyo.Azam tunamtaka pyramid