CAF Champion Leagues 2024/2025

Misri wametumia msimamo upi maana ligi yao bado mbichiii
 
Kwa kweli Yanga wanaonewa na CAF. Bingwa wa nchi yenye timu 4 mashindano ya CAF, lakini bado wanaanza preliminary round? Mwaka jana hivyo hivyo , Yanga alikuwa bingwa na Simba mshindi wa pili lakini Yanga katupwa preliminary Simba huyoo moja kwa moja raundi ya kwanza. Pamoja na Eng. Hersi kuwa mwenyekiti wa vilabu bado haya maonevu Yanga hayaishi.
 
Endelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.
 
Endelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.
Inawezekana wewe ndiye unatakiwa ujifunze zaidi. Miaka yote hakuna timu inayoanzia hatua ya pili. Kuna kuna kuanza preliminary kwa zile timu dhaifu na baadaye ndio wanaofuzu preliminary wanaanza raundi ya kwanza kuungana na wale walioanza moja kwa moja raundi ya kwanza. Sasa mwaka jana Yanga akiwa bingwa alianza preliminary na timu nyingine dhaifu lakini Sima japo hakuwa bingwa alianza moja kwa moja raundi ya kwanza. Hiyo ni sawa? Kwa nini Yanga aonekane dhaifu wakati ni bingwa na aliyechukua nafasi ya pili yyani Simba aonekane mkubwa zaidi? Au wewe ndugu yangu hukujua hayo?
 
Endelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.
Huyo dogo ameongea kwa kebehi
 
Nadhani hakujua hilo anachojua yeye ni kwamba tulikutieni goli 5
 
Hawa Vital'O wameingia msitu wa vibwengo, watapigwa kama paka mwizi
 
Umeishaambiwa endelea kujifunza elimu haina mwisho. Na mimi nakusisitiza endelea kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…