CAF Champion Leagues 2024/2025

Yanga na watoto wenzao wanaanzia hatua za awali. Mtoto ni mtoto tu.
 
Mpaka waje wajipate inakuwa kazi kweli kweli.

Nimewahurumia sana Gor Mahia na Azam kwa sababu hakuna muujiza utakaowapeleka Group Stage.
Means hata msimu ujao waki qualify wataendelea kuteseka.
Kama hujawahi kuleta ushindani kwenye zile top 5 hakuna anaekuona. Jirani kitendo cha kumvimbia Mamelod kimeanza kulipa. Dawa ya kuwa Mkubwa ni kucheza na Mkubwa.
 
Kama hujawahi kuleta ushindani kwenye zile top 5 hakuna anaekuona. Jirani kitendo cha kumvimbia Mamelod kimeanza kulipa. Dawa ya kuwa Mkubwa ni kucheza na Mkubwa.
Ungewatajia kabisa Top 5.
1. Al ahly
2. Mamelod
3. Simba
4. Widad
5. Es. Tunis
 
Mna wivu sana nyio Utopolo
Hakuna cha utopolo wala lunyasi hapa.
Wakati yanga wana mchumua molinga watu tuliojua boli tulisema yanga hawezi beba ubingwa.
Sasa wee umerevamp timu yako unategemea instant results kivipi?
Unfortunately football doesnt work that way!
 
Anyway...
Sisi tumesajili na hatutaki maneno maneno.
Wakati huu ni wakazi tu
 
Uzuri wa msimu huu vyuma vyote vilikua vinacheza yani full time players..so damu zinachemka vibayaaa mnooo...sio kama wale waliosajiliwa na kina mangungu kina jobe wametokea mpumzikoni...
#ubaya ubwela#
 
Mpaka waje wajipate inakuwa kazi kweli kweli.
Nimewahurumia sana Gor Mahia na Azam kwata sababu hakuna muujiza utakaowapeleka Group Stage.
Means hata msimu ujao waki qualify wataendelea kuteseka.
Kitu nilichogundua kwa utaratibu uliowekwa na CAF njia pekee ya kuepukana na kukutana na vigogo ni kuwa na point nyingi tu. Azam wanatakiwa waanze safari yao ya kujitafuta kwa kuvimba haswa kwa Pyramids na APR, akikomaa akacheza makundi atakuwa kajisogeza sogeza kidogo. Yanga na Simba zimeshafanikiwa hadi sasa wao ni kupangiwa timu za viwango vya kawaida kwavile wapo kwenye kundi la highest ranking teams.
 
Wewe mbumbumbu, ni PhD, hakuna phd.

Bata wahed ndegeless.
 
Msimu huu hata Simba angeshiriki klabu bingwa angeanzia round ya awali, wengi humu ni machizi hamjui kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…