Mnapitaje hapo kwa APR?Azam tunamtaka pyramid
Na kwa bahati mbaya mnaanzia nyumbani,
Mnaenda kumaliziwa Rwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapitaje hapo kwa APR?Azam tunamtaka pyramid
Mtego mbaya huoVital’O wameshatoka tayari.
Haya ndiyo yalikua yakimkuta yanga huko nyumaHii mifumo kama vile haiko sawa eti.
Sasa timu kama Gor Mahia FC ya Kenya ambayo haijashiriki hii michuano
Haendi popote yani.
Akishinda mechi yake ya kwanza, mechi ianyofuatia anakutana na Al Ahly.
Sasa hii ni nini?
Wametoka wapiVital’O wameshatoka tayari.
mimi ni Simba, ila kwa sasa hakuna timu ya kuifunga Yanga ndani ya Afrika Mashariki na Kati.Kwaheri AZAM na JKU...
VILLA sc wakikaza wanamtoa utopolo vizuri tu
Nawapiga nje ndaniWametoka wapi
Kwani ukisema kuwa wewe ni yanga kuna mtu atakushika kalio?mimi ni Simba, ila kwa sasa hakuna timu ya kuifunga Yanga ndani ya Afrika Mashariki na Kati.
Wangepelekwa Kazikazini au West huko, ila kwa Kenya, Uganda na hizo nchi za jirani nani ataifunga Yanga?
Yasijekua ya UD Songo na Simba.Nawapiga nje ndani
😁😂😂😁Nitalia sanaYasijekua ya UD Songo na Simba.
Anajishika mwenyewe naona..Kwani ukisema kuwa wewe ni yanga kuna mtu atakushika kalio?
Mkiskia mmeingia cha kike na gundu la robo fainal ndo huyo hapo sasa...msifurahi sana yajayo yanasikitidsha...😃😃😃Tukutane fainali 💚💚💚💚💚💚💚💚💚View attachment 3039447
PoleeeMbona timu za ajabu ajabu tuu..
Makundi tuu...au mlitaka muishie makundi? Kwa timu hizo hata Namungo anapenya robo fainali..Poleee
YANGA walee makundi..!!
#YNWA
Mtani hii na bookmark 😁😂Mkiskia mmeingia cha kike na gundu la robo fainal ndo huyo hapo sasa...msifurahi sana yajayo yanasikitidsha...😃😃😃
Hivi Pyramid ndio walioitoa Singida msimu uliopita??Mbona azam wamemkomalia Sana Yaani akishinda akutane na Pyramid sasa si kashatoka hyo
Fanya kuipest mahali 😃😃😃Mtani hii na bookmark 😁😂