barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sikujua hili, ebu nijuze zaidi.Uzuri hata wakitolewa wanaenda 16 bora y confederation...
Nyie kalieni kufukuzana tu...
Nasikia leo mmefukuza Hassan Ramadhab Kessy...
Anaungana na Banda na Isihaka
Teh..Usisikitike Chifu...Basi Tena yanga.....!
?????????Yanga heruaherua
Pole mpwa dakika ya 56 mwarabu anaimba halua haluaDakika ya ngapi mnaoangalia...
Naipenda Yanga mie
Ndio hivyo tena....Teh..Usisikitike Chifu...
Yanga akitoka hapo anaenda 16 bora ya kombe la shirikisho
Yanga kafumuliwa mzigo kimoja?????????
Nasikia Simba wamechukua fomu za kushiriki Ndondo cup 2016...Ni kweli?Hatimaye yanga niijuayo shows up in the second half.
Walifanya makosa nyumbani ugenini bye bye[emoji112]yanga inatuwakilisha vizuri tu, licha ya kuwa nyuma