CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Hivi mbona Yanga walivyofunga mtangazaji hakusema 'Halia halua'??
 
kuna mwarabu analazimishwa kuingia nadhani keshachungulia
 
Jamani Yanga wafungwe tusije shindwa kwenda kazini kesho kwa kelele zao.
 
Yanga wawe makini sasa! Waarabu ndio zao fujo....!
 
Hata kama waattoka ila hii ndio Yanga inavyocheza niijuayo mie.
yaani wametulia vizuri na waarabu wanakimbizwa sasa,Safi Yanga oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…