Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira bado haujaishaWaliosema Yanga watapigwa 5-0 wako wapi?
Waliosema Yanga watapigwa 5-0 wako wapi?
We unaona kuna dalili za kupigwa 5??Mpira bado haujaisha
PenaltHii mechi ikiisha sare ya 1-1 kipi kitafuata?
Shiiiii mkuu embu tulia kidogo kuna wasiotutakia memaaa!Waliosema Yanga watapigwa 5-0 wako wapi?
maneno ya kike hayo.hao ni mabingwa wa kihistoria...wamechukua klab bingwa afrika mara8.klab bora ya karne africa.Aisee huyu ni mwarabu koko