Japo Yanga wamefungwa ila wamekufa kiume
Kifo kifo tu hakuna cha kiume wala cha kike.Japo Yanga wamefungwa ila wamekufa kiume
Kufa kufa tu, hakuna kufa kiume wala kike! TehtehJapo Yanga wamefungwa ila wamekufa kiume
kuna namna walibweteka sekunde za hatari kwa kudhani shughuli inakwenda kwenye viazi but its poor marking hadi mtu anapiga free header ndio beki anafikaMpira tumecheza, asanteni wote mliotuunga mkono. Tunashuka kwenye mtoano wa kombe la Shirikisho. Safari inaendelea.
Ni sehemu ya mchezo kaka. Ila Yanga wanasitahili sifa tena nyingi. Wamecheza na kuonyesha hata wamisri walikuwa hawana uhakika wa kushinda moja kwa moja.nakosa pumzi ya kutosha,na mwili wa anaekabananae upo vizuri saana..
Yaani wachezaji wetu miili na lishe naona kama tatizo,maana hata fitness haipo vizuri kabisaa.
Halafu kuna kipindi wanajichanganya sana,wanagongana kwenye kukaba,bado tatizo lipo ila ngoja tuangalie dakika tano za mwanzo