CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

siyo mbaya sana...
 
Mimi sina ushabiki na timu za hapa home ila kwa mpira walio ucheza yanga ni haki yao kujiita wakimataifa nadhani ingelikuwa simba au timu yoyote ya hapa home tungefungwa goli nyingi
 
Maneno kuntu
 
Washazoea kununua mabeki huko hakuna mabeki ka kessy.
Mtalalama sana wanazi uchwara wa Simba; Yanga bado inasonga mbele kimataifa. Ninyi endeleeni kujifunza kuzomea badala ya kushangilia. Nawapongeza wanasimba wote walioweka kando unazi wao na kuishaingilia Yanga. Ng'wabheja sana!!!, murakoze chanee!!, wakora saana!!, thank you so muuuch!!
 
Mimi sina ushabiki na timu za hapa home ila kwa mpira walio ucheza yanga ni haki yao kujiita wakimataifa nadhani ingelikuwa simba au timu yoyote ya hapa home tungefungwa goli nyingi
Yanga wamecheza mpira gani acha kuwapa ufagio .
 
Sio kulalama kwani nani asiye jua mbinu zenu chafu katika soka.
 
Safi kabisa mimi roho yangu kwetu tulienda kupambana na tumeonyesha hivyo mpira ni mchezo wa mambo sasa so wameitumia nafasi nasi pia ni changamoto kwetu msimu ujao tujipange zaidi.
 
halua halua heluaaaaaaa al abdallaaaaah al gamaaaaal al takbiiiir hahaaaaaa helua heluaaaaa
 
halua halua heluaaaaaaa al abdallaaaaah al gamaaaaal al takbiiiir hahaaaaaa helua heluaaaaa
Aaaaaahhhh vibaya hivyo sasa!
Mwenzio nishaanza kusahau unanikumbushia.
Jana yule mtangazaji nilitamani nimtafune!
 
Aaaaaahhhh vibaya hivyo sasa!
Mwenzio nishaanza kusahau unanikumbushia.
Jana yule mtangazaji nilitamani nimtafune!
Haaah natumaini leo saa tisa mtapangiwa waarabu tena mcheze nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…