Huyu @grafan tangu litokee lile tukio la kupata ajali simba ukawa hajawani kutokea humu,.Mkuu acha tuhuzunike tu, kikosi chetu kipo dhoofu sana,Mkuu grafan njoo bana utie ubani kwa wanayanga, umepotea sana.
Azam twoSuperSport wataonyesha?
Hahahaha tbc tena bunge lenyewe limewashinda azam two ndo inaonyesha mkuuTBC itatangaza
20:30 kwa saa za Afrika Mashariki.Wakuu Muda wa kuanza mechi tafadhali
Saa 20:30 kwa saa za Afrika Mashariki.Wakuu Muda wa kuanza mechi tafadhali
Yanga 2-1Kila la kheri yanga funga hao waarabu 2-0 tuwakate vidomo domo fitnati wote