Mmh hiyo mechi haina uhusiano wowote Na simba.Yanga timu ya wananchi piga hao waarabu wa Misri ili mikia izidi kutimuana.
Shukran ndugu yangu kwa kuonyesha ukomavu wa ushabiki.Nawatakia kila la Heri yanga.
Leo nimekuwa mzalendo.!Shukran ndugu yangu kwa kuonyesha ukomavu wa ushabiki.
Yanga wanafungwa, and thats it hakuna haja ya kujipa matumaini ambayo hayapo, maandalizi mabovu ligi mbovu ushindi hata siku moja hautatokea hewani...mpira wa tanzania ni wa kwenye tv na magazeti, mpira wa kufungana simba na yanga..hakuna kitu...we still have a very long way to go.
Yaah!u taifa kwanza poa poa.Leo nimekuwa mzalendo.!
umetisha mkuuUkitaka kuitazama mechi live ingia YouTube search ontv live stream mechi inaoneshwa. Sijui jinsi ya kuweka link
Mikia mnawewesekaAl Ahly funga hao vyura FC angalau goli tano warudi dimbwini..