hawa azam waongo kweli aliyewafuatilia kwenye matangazo yao mchana hadi sasa kasubiri azam two. kumbe mpira uko ZBC 2ZBC 2
Mpaka sasa wanaaga mashindano Yanga. No goal attempt kipindi cha kwanza licha ya kuwacontain al ahly.Wakimataifa wamefanikiwa kumaliza kipindi cha kwanza 0-0....
Wamatopeni wanao?Wakimataifa hawana hata uwanja.
mkuu umetisha, kula lyk yangu
Bunju ComplexWamatopeni wanao?
azam tv chaneli namba 116wadau, hivi hii ZBC 2 inapatikana kwenye kisimbuzi gani?
Naona Deus Kaseke kidogo kapwaya.Anapoteza mipira sana na upande wake umekuwa tabu sana hasa wanaposhambuliwa.bado bila kwa bila
Ila waarabu wanaona saana kwenye pasi za one touch,wanapiga pasi balaa,ila yanga pasi tatu basi wamepoteza
Inabidi watulie Saana,Niyonzima yupo vizuri sana jamaa
nakosa pumzi ya kutosha,na mwili wa anaekabananae upo vizuri saana..Naona Deus Kaseke kidogo kapwaya.Anapoteza mipira sana na upande wake umekuwa tabu sana hasa wanaposhambuliwa.