CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Kama wakicheza kipindi cha pili kama cha kwanza yanga safari imefika.
Maana Zam jana walikazaa then wakaachia baada ya kuchoka
 
Yanga wanashambuliwa muda wote, wamezidiwa. Yanga wanaliga square passes ambazo hazina msaada.

Yanga wanajilinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza. Hali hii siyo nzuri kwani wanaruhusu mashambulizi ya mara kwa mara golini.
 
hawa azam waongo kweli aliyewafuatilia kwenye matangazo yao mchana hadi sasa kasubiri azam two. kumbe mpira uko ZBC 2
Wamekosa uweledi hivyo wanaendesha kazi zao kimazoea kama sio kubahatisha.
 
Ule muda wa Mwarabu ndio umewadia rejea yaliyomkuta Azam jana
 
Tatizo la Yanga wachezaji hawajiamini ndio maana tunaona pas zisizo na macho
 
bado bila kwa bila
Ila waarabu wanaona saana kwenye pasi za one touch,wanapiga pasi balaa,ila yanga pasi tatu basi wamepoteza
Inabidi watulie Saana,Niyonzima yupo vizuri sana jamaa
Naona Deus Kaseke kidogo kapwaya.Anapoteza mipira sana na upande wake umekuwa tabu sana hasa wanaposhambuliwa.
 
Mara nyingi watu huwa wanaenda kwa waarabu wanajua wameishafungwa,sasa wakifika inakuwa panic telee na ndicho ninacho kiona.
Kuna klipindi mtu anauwezo wa kutoa pasi mbele ila anarudisha nyumba mbioo ili upoe,wakati wao wakiupata ni mbele hakuna kurudi.
Ila kama wakibadilika Yanga basi wanafungika hawa jamaa,ila kama ni vilevile basi Yanga safari imefika.
 
Naona Deus Kaseke kidogo kapwaya.Anapoteza mipira sana na upande wake umekuwa tabu sana hasa wanaposhambuliwa.
nakosa pumzi ya kutosha,na mwili wa anaekabananae upo vizuri saana..
Yaani wachezaji wetu miili na lishe naona kama tatizo,maana hata fitness haipo vizuri kabisaa.
Halafu kuna kipindi wanajichanganya sana,wanagongana kwenye kukaba,bado tatizo lipo ila ngoja tuangalie dakika tano za mwanzo
 
Back
Top Bottom