CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Niyonzima pasi zake zote anarudisha nyuma
 
Mpaka sasa wanaaga mashindano Yanga. No goal attempt kipindi cha kwanza licha ya kuwacontain al ahly.
Uzuri hata wakitolewa wanaenda 16 bora y confederation...

Nyie kalieni kufukuzana tu...

Nasikia leo mmefukuza Hassan Ramadhab Kessy...

Anaungana na Banda na Isihaka
 
Tatizo letu lile lile la kutocheza vichwa iwe kona ama cross.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…