wakimataifa 2 - 1 wa vidimbwiniHivi jamani huyu jerry muro ataacha lini kuropoka?huyu ndo anayesababisha hadi timu kufungwa.
sijui kesho ataongea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakimataifa 2 - 1 wa vidimbwiniHivi jamani huyu jerry muro ataacha lini kuropoka?huyu ndo anayesababisha hadi timu kufungwa.
Hivi umehesabu lakini alizosevu Dida wa bonde la jangwani fm?Ni sehemu ya mchezo kaka. Ila Yanga wanasitahili sifa tena nyingi. Wamecheza na kuonyesha hata wamisri walikuwa hawana uhakika wa kushinda moja kwa moja.
Ilikuwa ni poor marking kwenye krosi ya shambulizi...Hata goli lao la kwanza ni poor marking ya konaKumbe siku hizi mpira siyo dakika 90 tena? Hivi jamani mpaka dakika hizo Yanga tumeshindwa kupaki basi twende kwenye matuta? Mimi ndio maana sitaki kuwa mshabiki sana wa hii mipira inauma sana na afadhali sijaangalia mechi yenyewe.
Barca akimfumania zoba huwa hafanyi mzaha hata kidogo. 8-0!! Dah Nimeikumbuka Deportivo ya Miguel Angel AnguloHaya hamieni La liga Barcelona anaua leo.
Dakika ya 81 mtu Kala 8-0.