CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.
Tz ya magu kuna timu inaitwa Simba sheikh, kila awamu huwa wanawagonga hamsa hamsa timu moja inaitwa gongowazi ya kariakoo, ni hatari ina kiungo anaitwa Mwamba wa Lusaka ni khatari sheikh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…