simba alicheza fainali caf cup wakati huo kulikuwa na mashindano matatu ya vilabu afrika. Klabu bingwa ni mashindano ya mabingwa wa vilabu vya ligi afrika. Mashindano ya kombe la washindi ni vilabu vilivyoshinda makombe ya FA kwenye nchi zao. Mashindano ya caf ni washindi wa pili wa ligi kwenye nchi zao.Mazungumzo yangu yalianzia hapa, kama vita kacheza fainali confederation, basi na simba pia kacheza fainali.
Usiwe unakurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini kwenye kile kibaraza chenu jangwani.
Sasa hivi hakuna kombe la washindi nafasi yake imechukuliwa na mashindano ya caf.
AS vita ilishabeba kombe la klabu bingwa afrika zamani , hivyo ni timu kongwe