CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Mazungumzo yangu yalianzia hapa, kama vita kacheza fainali confederation, basi na simba pia kacheza fainali.
Usiwe unakurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini kwenye kile kibaraza chenu jangwani.
simba alicheza fainali caf cup wakati huo kulikuwa na mashindano matatu ya vilabu afrika. Klabu bingwa ni mashindano ya mabingwa wa vilabu vya ligi afrika. Mashindano ya kombe la washindi ni vilabu vilivyoshinda makombe ya FA kwenye nchi zao. Mashindano ya caf ni washindi wa pili wa ligi kwenye nchi zao.
Sasa hivi hakuna kombe la washindi nafasi yake imechukuliwa na mashindano ya caf.
AS vita ilishabeba kombe la klabu bingwa afrika zamani , hivyo ni timu kongwe
 
Tz ya magu kuna timu inaitwa Simba sheikh, kila awamu huwa wanawagonga hamsa hamsa timu moja inaitwa gongowazi ya kariakoo, ni hatari ina kiungo anaitwa Mwamba wa Lusaka ni khatari sheikh

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kaka mie Yanga wewe Simba timu zetu kongwe zina miaka sijui 80 lkn zishawahi beba kikombe chochote cha Africa? Angalia hizo timu zina historia Africa kasoro hiyo nyingine sijui. Tutabaki tunatambiana wenyewe tuuu lini tutabeba vikombe vya Africa?
 
Hatujazoea huo mchezo,huko mchangani we si ni juzi tu umefilw. Kabla hata ya saa 12.30 kufika? Sahiz hoi umelegea,ukitajiwa hata pombe inayoitwa Shujaa unalegeza tundu lililotobolewa mbele ya mh. Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambao tundu halijatobolewa nimeona droo yenu ishachezeshwa kundi lenu mpo Yanga,Mashujaa,Tukuyu stars na Majimaji...kila la kheri yanga katika kuiwakilisha nchi kwenye hatua hii muhimu ya magroup ya whatsapp ligi ya mabingwa ndondo cup africa
 
Duh lkn they are back tena tuone safari hii. Halafu kuna Club Africain hawa ni wa Ivory Coast nao noma. Simba bado kumbukumbu ya Stela Abidjan itawatesa.

Kabla ya kuandika jiridhishe unachotaka kuandika ukweli wake. Club Africain ni ya Tunisia tafadhali
 
Hatua ya makundi katikata ligi ya mabingwa Africa inatarajiwa kutoka Leo na upangaji was makindi hayo ukifanyika.
Simba SC ndio mwakilishi pekee was ukanda huu wa Africa mashariki. Je atapangwa na vigogo vipi? ni mida wa kuvuta subira kidogo
Simba imepania kufanya makubwa msimu huu katika ligi huku wataalamu was duru za kispoti wakiitabiria angalau kufika nusu fainali.
Timu 16 zitapigania taji moja Huku makundi yakiwa 4 na washindi wa 2 wa kila kundi wakikata tiketi ya kwenda robo fainali.
View attachment 979401View attachment 979402
Alahly na vita club njia nyeupeeee
 
Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.
Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.

Simba asipokaza anaweza ondoka na point 2 tu
 
Hawa sport xtra ya clouds nilijua ni wachambuzi wa mpira, kumbe ni wahuni tu

Badala wachambue mpira technically na tactically wao wanaleta ushabiki wa kindezi

Hivi hawajui kua juzi man city amekufa kwa Leicester city

kwa upumbafu walionao wanaamini timu ndogo ni ya kufungwa tu

shenzi type.
 
Ambao tundu halijatobolewa nimeona droo yenu ishachezeshwa kundi lenu mpo Yanga,Mashujaa,Tukuyu stars na Majimaji...kila la kheri yanga katika kuiwakilisha nchi kwenye hatua hii muhimu ya magroup ya whatsapp ligi ya mabingwa ndondo cup africa
Bila shaka hiki in cha Arusha si bure
 
Back
Top Bottom