CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Kwa mie naona kundi la Simba sio gumu kivile,Hao waarabu mbinu zao tutaweza kuzimudu raundi hii,Halafu sie tukianza kukatishana tamaa hapa je lile kundi alilopangwa nalo Tp mazembe nalo tusemeje jamani
 
kundi P..nkana fc (zambia)tukuyu stars(mbeya)Yanga africa(bondeni)KCC (uganda).
 
FB_IMG_1546019529232.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehteh eti waarabu ndio tuliowataka!! Mashujaa wenyewe wamewatoa kamasi
nakuhakikishia hilo ndiokundi zuri sasa.
tutajiandaa tukijua fika njia ni ngumu. lakin tungepata kundi la kawaida kwa akili za wabongo tungebweteka kama yanga.
 
Huyu jamaa ashawaona hao wakongomani wanaitwa AS Vita? Ni balaa kila mwaka wapo ligi ya mabingwa. Congo ya Kabila kuna TP Mazembe, DC Motema Pembe na AS Vita kaa nazo mbali hizo timu.
as vita alifika final msimu ulioisha. sijui ilikuwa shirikisho ile?
 
duhh haya makundi sio ila hilo kundi C si la kitoto kabisa
 
Back
Top Bottom