CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Naiona njia nyeupe ya kusonga mbele au kutoka kwa simba

kwenye kundi letu hakuna timu ngumu uwanjani kama vita club ya congo

huyu al ahly amebaki jina tu, simba akikaza nyumbani tutawafunga

huyu sauora ndio mwepesi zaidi kwa simba, so tunaweza kushinda nyumbani then ugenini tujitahidi draw

Mungu ibariki simba sc, Mungu ibariki Tanzania.
 
hivi mashàbiki wa yanga kwenye uzi wa kupanga makundi ya mabingwa 16 wa afrika wanatafuta nini..nyie si mnajua mpira mpo 32 bora azam confenderation cup??subilieni na nyie makundi yenu..shubamit..
 
Naiona njia nyeupe ya kusonga mbele au kutoka kwa simba

kwenye kundi letu hakuna timu ngumu uwanjani kama vita club ya congo

huyu al ahly amebaki jina tu, simba akikaza nyumbani tutawafunga

huyu sauora ndio mwepesi zaidi kwa simba, so tunaweza kushinda nyumbani then ugenini tujitahidi draw

Mungu ibariki simba sc, Mungu ibariki Tanzania.

Umeandika ki uzalendo zaidi, na imani simba sc atafika mbali
 
Back
Top Bottom