Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu mnakumbuka kuwa mna magoli mawili mliyoshinda ugenini zidi ya Mashujaa kwa hiyo mnahitaji goal moja tuu la nyumbani kuwatoa Mashujaa.teh tena wewe bora usiongee maana ni mwepesi sana kukimbia
Hahah hapa hapa panatosha mkuu!!si mngefungua uzi wenu wa upangwaji wa makundi ya azamu kapu
Kwani wanasemaje haoHawa sport xtra ya clouds nilijua ni wachambuzi wa mpira, kumbe ni wahuni tu
Badala wachambue mpira technically na tactically wao wanaleta ushabiki wa kindezi
Hivi hawajui kua juzi man city amekufa kwa Leicester city
kwa upumbafu walionao wanaamini timu ndogo ni ya kufungwa tu
shenzi type.
Kumbe na Mashujaa nao mliwaheshimu ndio maana mkapata goals mbili Kwa tatu ugenini?Mkuu simba sc hua hatuogopi timu, tunaziheshimu tu.
Hapana afungwe 2-1 au 3-2 ugenini ili akija nyumbani aje kutafuta goal 1-0
Ndiyo mkuu..mkuu yanga mbona sijawaona kwenye droo...droo ya yanga inachezeshwa saa ngapi c nilisikia na wenyewe wameingia hatua ya makundi ya whatsupp kombe la mabingwa ndondo cup africaKumbe na Mashujaa nao mliwaheshimu ndio maana mkapata goals mbili Kwa tatu ugenini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa sport xtra ya clouds nilijua ni wachambuzi wa mpira, kumbe ni wahuni tu
Badala wachambue mpira technically na tactically wao wanaleta ushabiki wa kindezi
Hivi hawajui kua juzi man city amekufa kwa Leicester city
kwa upumbafu walionao wanaamini timu ndogo ni ya kufungwa tu
shenzi type.
Mkuu rudia tena nimependa uandishi wakoNajua mkuu ila sisi ni watani wa jadi. Kuchukia kwako kwangu ni afya mtani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaaa kweli as vita ni hatari sana kuna jamaa anaitwa Lelimas Masuku Sergio wawa ajipange jamaa ni hatari sanaHapana mkuu mechi ya kwanza alifungwa 4-1 ila ile iliyopigwa Congo DRC Alishinda 3-1.
Hawapo kundi moja na simbaaDuh lkn they are back tena tuone safari hii. Halafu kuna Club Africain hawa ni wa Ivory Coast nao noma. Simba bado kumbukumbu ya Stela Abidjan itawatesa.
Hahahahaha mazembe hapiti kufuzu kwenyewe mpaka hapo kabebwa tuu zesco ndowastail kuwepo hapoTP mazembe kapata kundi mchekea aiseee kombe kashalichukua kabla hata hajacheza.
Tunahitaji professional league hii amateur tutaendelea kugongwa tuSimba asipokaza anaweza ondoka na point 2 tu
To Mazembe wenyewe kule Congo wanaomba poa kwa Vita alafu jamaa anawachukulia poa.
Yaaaa point simba anacheza na watu ambao wametoka kucheza final mbili mmoja klabu bingwa mngine shilikisho kamaa hawa vita watu wanawazalau sana jamaa ni hatari sanaTunahitaji professional league hii amateur tutaendelea kugongwa tu
Kwenye makundi points ndo muhimu Wala sio goli la nyumban au ugeniniHapana afungwe 2-1 au 3-2 ugenini ili akija nyumbani aje kutafuta goal 1-0
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] We wachokoze usijekujuta uchokozi wako.
Wana hasira mbaya hao mamjamaa.[emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] We wachokoze usijekujuta uchokozi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tucheze nao tupate wachezaji wa kuwasajiriTo Mazembe wenyewe kule Congo wanaomba poa kwa Vita alafu jamaa anawachukulia poa.
Msimu ulioisha alimpiga Al masry nje ndani Hadi kocha wao hossam Hassan akarusha ngumi pale cairo
Sent using Jamii Forums mobile app