CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Hawa sport xtra ya clouds nilijua ni wachambuzi wa mpira, kumbe ni wahuni tu

Badala wachambue mpira technically na tactically wao wanaleta ushabiki wa kindezi

Hivi hawajui kua juzi man city amekufa kwa Leicester city

kwa upumbafu walionao wanaamini timu ndogo ni ya kufungwa tu

shenzi type.
Kwani wanasemaje hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjinga kwenye hiko kipindi anaongea eti Liverpool ikipoteza point 6 itajikuta imekuwa ya 3.

Sasa ukiangalia hapo Tottenham ndo kaachwa 6 points na goal difference ya 10+ goals, Man City kaachwa 7, Liverpool inakuwaje ya 3 kwa kupoteza 6 points?
 
*RATIBA YA CLUB BINGWA GROUP D.*

11/01/2019
Simba vs Js Saoura Algeria - Dsm

18/01/2019
As Vita Club Congo vs Simba - RDC

01/02/2019
Al Ahly vs Simba - Misri

12/02/2019
Simba vs Al Ahly - Dsm

08/03/2019
Js Saoura vs Simba - Algeria

15/03/2019
Simba vs As Vita - Dsm

Kutokana na ratiba hii bado Simba Itabidi mechi 5 za round ya pili zipangiwe tarehe zingine ikiwemo ya Mbeya city, Ndanda, Mbao, Alliance na Yanga.
IMG-20181228-WA0099.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom