Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Kwa kikosi kipana hiking?Mazungumzo yangu yalianzia hapa, kama vita kacheza fainali confederation, basi na simba pia kacheza fainali.
Usiwe unakurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini kwenye kile kibaraza chenu jangwani.
Huu si mtoano mkuu... ukifungwa unaacha points 3Hapana afungwe 2-1 au 3-2 ugenini ili akija nyumbani aje kutafuta goal 1-0
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mechi na màshujaa mliendacheza kigomà
Sisi tunazungumzia Club Bingwa Afrika.Amepangwa na Green Warriors, Mashujaa Kigoma FC na Mbao FC. Maana Mikia hizi timu Akisikia zikitajwa anatepeta.
Kwani nyie vyura mmepangwa na nani?Ile mechi na màshujaa mliendacheza kigomà
Lupuli kawasumbua,mashujaa ndio kabisaa ooh kikosi kipana mara kinene... Mkikosa na ligi kuu sijui mtajificha wapi
Mashujaa naona mlicheza nao Lake Tanganyika Kigoma,na mkapata magoli mawili ya ugenini mnasubiri mkija kwa Mchina mpate goal moja muwaondoe.
Mkuu kumbuka zesco alikufa kidude pale DRC alivyorudi Lusaka akaambulia sare.Hahahahaha mazembe hapiti kufuzu kwenyewe mpaka hapo kabebwa tuu zesco ndowastail kuwepo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mashujaa Kwa mbaaaaaaaliKundi rahisi sana hilo. Sioni wakitokq hapa bongo. Mbabe al ahly labda.
Kwa hiyo Kwa Mashujaa mliamua kutoka,au kwa kuwa mna goal mbili za ugenini?Hili kundi simba akiamua anapita, na akiamua pia atatoka
Kama mlivyowaua MashujaaHawa waarabu wawili wote wanafia kwa mchina pale
Tushaanza kufanya mazoezi ya kupanda ndege, Mwakani Mikia mnarudi mchangani kwenu mlipopzoea.